Saturday, 31 December 2011

TUMIA MAJI KUJITIBU MAGONJWA (WATER THERAPY)

HAPPY NEW YEAR!!!!

wadau nimekutana makala ambayo imenivutia sana na ningependa niwashirikishe..

TUMIA MAJI KUJITIBU MAGONJWA (WATER THERAPY) 

Maradhi ya muda mrefu na mfupi yanayosababisha vifo, yanaweza kupona kwa njia rahisi sana.  Njia hii inaitwea “Water Therapy”  Chama cha Madaktari wa Kijapani (The Japanese Medical Association) kimetoa makala juu ya hilo na kueleza kwamba endapo mtu atatumia njia ya kujitibu kwa maji (Water Therapy” atakuwa ametibu maradhi ya muda mrefu na mfupi hususan haya yafuatayo:-
 
Kuumwa na Kishwa, Shinikiza la Damu (BP), Anaemia, Kupooza, Unene (Obesity), Mapigo ya Haraka ya Moyo na kuzimia.
Kikohozi, kuumwa na Koo (Bronchitis), Asthma na Kifua Kikuu (TB).
Hiper Acidity, Gastritis, Kuhara, kufunga choo, Piles na Kisukari (Diabetes).
Matatizo yote ya Macho.
Matatizo ya kike kubadili siku zao, Lucoria na Kansa ya Kizazi.
Magonjwa ya Pua, Masikio na Koo.
 
NAMNA YA KUTUMIA:
 
Amka asubuhi na mapema.  Kabla hujapiga mswaki na kunawa uso, kunywa maji kiasi cha bilauri nne (4).  Kisha unaweza kunawa na kupiga mswaki.  Baada ya hapo usinywe chai au kula chochote mpaka zipite dakika arobaini (40).  Baada ya kunywa chai kaa masaa mawili (2), kunywa maji bilauri nne (4),  kaa dakika arobaini (40) kabla ya kula chochote.  Baada ya kula kaa masaa mawili (2), kisha kunywa maji bilauri nne (4), kaa dakika arobaini (40) kabla ya kula chochote.  Epuka kula chakula muda mfupi kabla ya kulala.
 
Wagonjwa na watu dhaifu wanashauriwa kuanza kwa kunywa bilauri moja au mbili za maji na kuongeza kidogo kidogo m[paka kufikisha bilauri nne, na kuendelea kunywa mara kwa mara.  Kusema ukweli watu wote walio wagonjwa na wenye afya wajaribu kutumia njia hii ya kujitibu watapona na wazima wa afya hawataugua tena.
 
Kwa uzoefu na uchunguzi imebainika kwamba magonjwa mbalimbali yafuatayo yalitibiwa katika muda kama ilivyo hapa chini.
 
Ø      Shinikizo la damu (HEP)           Mwezi mmoja (1)
Ø      Matatizo ya Kujaa Gesi            Siku kumi (10)
Ø      Kisukari (Diabetes)                   Mwezi mmoja (1)
Ø      Kufunga Choo                          Siku kumi (10)
Ø      Kansa                                      Miezi sita (6)
Ø      Kifua Kikuu                             Miezi mitatu (3)
 
Wale wenye matatizo ya kujaa gesi na ugonjwa wa mifupa/baridi yabisi (Rheumatism) wanashauriwa kutumia njia hii ya Water Therapy mara tatu kwa siku kwa muda wa siku kumi (10).  Njia ya namna hii ya kujitibu ni rahisi na nyepesi sana kwa mtu na haihitaji kulipia gharama zozote.  Ni njia ya MAAJABU sana kwani inarudisha afya ya mtu bila kutumia hata dawa au fedha.  Mwanzoni mtu anaweza kujisikia kwenda haja ndiogo mara kwa mara kwa muda wa siku kama tatu lakini baadaye itakuwa kama kawaida

6 comments:

  1. Hesabu ya bilauri nne (4) si ni sawa na lita moja kama sijakosea mheshimiwa daktari!!!!1

    ReplyDelete
  2. Ni kweli jamani maji ni dawa tosha. Mimi yamenisaidia hamuezi kuamini sasa nina miaka mitatu sijaumwa malaria, na hii ni baada ya kuanza kutumia maji mengi. Nawashauri mtumie na tofauti itajionesha tu.

    ReplyDelete
  3. Asante wadau Kwa haraka Glasi 4 ni sawa na lita moja ya Maji..nimefurahi kusikia comment ya mdau hapo juu unaweza kutuambia ulikua unatumia Maji ya barid au ya Moto.

    ReplyDelete
  4. Hata mimi natumia maji ya kawaida yasiyo pungua lita tatu kwa siku na yananisaidia sana. Kwa mfano mafua, kuumwa kichwa, kujaa gesi tumboni ni magonjwa yasiyo nisumbua kwa muda mrefu. Nawashauri watu kutumia njia hii kwani ni nzuri inakufanya mwili uwe na afya.

    ReplyDelete
  5. Unajua Maji si tiba tu bali ni kinga pia. Watu wanaweza kudharau tiba na kinga. Lakini ni kweli kabisa Jaribu uone maajabu yake.

    ReplyDelete
  6. Mimi nilikuwa na nina tumia mpaka sasa maji ya kawaida wastani wa lita tatu kwa siku.

    ReplyDelete