Tuesday, 5 November 2013

msongo wa mawazo na drug addiction

msongo wa mawazo mara nyingi umekua moja ya kichocheo kikubwa cha kujiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya na pia husababisha mtu aliyeacha kutumia mdawa ya kulevya kurudi katika utumiaji.

hivi ni badhi ya vitu ambavyo vinaweza kuchangia upatikanaji wa msongo wa mawazo



Loss of parents
Emotional abuse
Parental divorce and conflict
Sexual abuse
isolation and abandonment
Poor behavioral control
Single parent family structure
Poor emotional control
Physical abuse
Poor economic status


msongo wa mawazo hauepukiki kwa sababu tumeumbwa hivyo. kikubwa jinsi gani unavyoweza kuupokea na kuufanyia kazi, ikiwa msongo wa mawazo utapokelewa na kufanyanyiwa kazi katika njia chanya basi matokeo yake huwa mazuri, lakin ukichukuliwa katika njia hasi basi huwa na mahara sana na inaweza kupelekea katika matumizi ya madawa ya kulevya.

No comments:

Post a Comment